Nicole amekosa dhamana karudishwa rumande baada ya kesi yake kusikilizwa

Na wa LBL pia wapelekwe mahakamani mbona hutusikii habari yoyote inayoendelea?
 
Kufake maisha noma sana sasa huyu na mbwembwe zake kumbe hana hata mtu wa kumdhamini.
Yaani kakosa mtu wake wa karibu mwenye hati ya nyumba yenye thamani hiyo aweze kumdhamini
Yaani wewe unaweza kudhamini Malaya kahana
 
Kweli na hilo tako lote na nyonyo wameshindwa mdhamin mtoto mzuri kwelii??? Madanga yenye pesa yamepotelea wapi
Kufake maisha noma sana sasa huyu na mbwembwe zake kumbe hana hata mtu wa kumdhamini.
Yaani kakosa mtu wake wa karibu mwenye hati ya nyumba yenye thamani hiyo aweze kumdhamini

Mkuu, matatizo ndo yatakujulisha huyu ni mtu wangu wa karibu ama la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…