MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
π π π π π π πUmeona jembe lilivyoshikwa kwenye picha ya pili?
Hiyo lugha ya picha. Hamaanishi kilimo.Yaani kwa mtazamo wangu.mdogo nilionao
Siwezi kuamini ni kilimo tu.ndo kimemfikisha hapo alipo.
Kuna jingine asee
Hapo sawa asee
oooh oohh
Whaaaaaaaaat!
Basi mm mshamba eheee
Sijui tako kaliokotea wapi,eti mkulima anashika jembe utafikiri vidole vinafangasi.
Woi ππππππ na miguu yake imekaa upandee.