Mchongo wa upigaji huo,hivyo vitambulisho vya nida kuna watu wazima wameomba toka april hadi leo havijatoka kwa madai bado avijaprintiwa halafu ghafla bin vuu waanze kutoa vya Watoto!Nimemsikia simba chawene kuanzisha vitambulisho vya NIDA chini ya miaka 18.
Yani kwa nilivyo safiri na kujifunza kwangu nchi za nje, Vitambulisho vya taifa vipo kwa ajili kisheria ukishatimiza umri wa kujitambua ndio unapatiwa.
Kingine zaidi mfumo wa nida umekuwa kama kitengo cha wasajili laini yani hakuna mamlaka kamili kati ya uhamiaji na nida.
Wapinzani wengi ni watu wa mihemko na hasira. Wanadhani kuwa serikali peke yake inaweza kuwapatia hela moja kwa moja au kuwaajiri moja kwa moja. Wanadhani kuwa ni haki kutafuta hela bila ya kujali sheria zinasemaje. Wakichukuliwa hatua halali za kisheria wanaona serikali ni adui.CHANGAMOTO AMBAYO HUWA NAIONA KWA WAPINZANI
NI KUKOSA UELEWA WA MAMBO KWA KINA
WAZO LA SIMBACHAWENE NI WAZO BORA SANA
Ila ukishakuwa mpinzani unawekeza nguvu Latina kukosoa
N.B MAISHA YAKO NDO KILA KITU HAKIKISHA UNAKATAA MAANDAMANO