Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ningekuwa mimi leo viss wa NIDA Kawe asingerudi ofisini tena kesho
Leo nimesikitika sana nikamkumbuka Magufuli mno
Ajabu sana kuona ofisi kubwa kama Kawe NIDA haina genereta
Huko huko ndani kuna ofisi za Uhamiaji. Mnatupeleka wapi?
Mbaya tumekaa toka saa tatu asubuhi mpaka saa nane wapendwa tunasubiria kujiandikisha NIDA, wengine wanasubiria namba zao na kadi.
Ukiuliza wanakwambia kwani uko peke yako huoni wenzako wamejazana hapo nje!
Hili jibu likanifanya niondoke muda huohuo nikaenda bar ya upande wa pili kunywa aisee
Leo imenisikitisha sana kuona ofisi kubwa kana hii haina genereta
Tunaomba mkaikague hii ofisi urasimu ufe tukishatoka uko jamani