KERO NIDA kuna changamoto kuangalia namba ya NIN mtandaoni

KERO NIDA kuna changamoto kuangalia namba ya NIN mtandaoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna shida ya kuangalia online namba ya NIDA hawaleti namba inasababisha changamoto.

Tafadhali IT wa NIDA rekebisheni hili
 
Back
Top Bottom