Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona.
1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha.
Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka.
2. Nililalamika ushenzi unaoendelea pale kawe yaan mmefika mapema ajabu wanakuja wasomali watanzania ama waarabu watanzania ama wahindi watz unashangaa mtu wa kutupokea pale anatoka anawakimbilia anauliza can I assist you.
Ghafla unashangaa wanapandishwa gorofa ya kwanza kupigwa picha na wanaondoka.
Nyie punguani mmekaa mnasubiria kuitwa majini sijui nan katuloga jamani.
Na hii ofisi ina boss kabisa
3. Unapopigwa picha na fprint unaambiwa njoo baada ya wiki 2 binafsi nimetoka hapo jana na kadada ka kipemba katakuwa shahidi nikiwa nasubiria toka saa mbili mpaka nne kaja makaka wa kiarabu 2 hawajui pa kuanzia.
Mlinzi akaongea nao wakasema ndio wanaanza[mdada mnene mzuri]
Akawambia nenden mkajiandikishe getiini mwende immigration loh
Gafla mdada wa recp katuacha kawafwata fasta gafla wakapanda juu. Tunaulizana nani atatuita kama ngozi nyeupe zinakimbiliwa vile akakaa huko kama 30 mns akarudi.
Mm ni muumini wa kutoamini wata nzania na muda akikwambia wiki 2 ongeza yako moja akikwambia saa kumi nenda kumina.
Ndicho nilichofanya nafika namwonyesha jina mdada anasema sionekani namba haipo.
Hapo nimekuja wiki ya 3 wandugu sio ya 2 kama walivyosema.
Ajabu kuna makaka wawili tulikutana kwenye picha siku ya kwanza.
Hawa makaka na jana tukakutana nao wameonyesha majina wao namba zao ziko juu.
Mkiambiwa rushwa haishi mnajipa moyo na kutumia mamilion ya laaan sikuya rushwa dunian.
Jana walioangalia itv saa mbili inasikitisha inaumiza sanaa mpaka mkuu wa wilaya ubungi akasema kuna shida nida.
Wanafunzi wanawahi wafanyakazi hawapo wanafunzi wanambiwa njoon wik 2 wanakwenda hawaoni namba zao.
Ajabu wenzao waliokuja naoo wengine wameshapata haya mamboo enzi za magufuli tulishayasahau sijui laana gan imetukumbuka.
Ushauri tu hasa meneja wa NIDA kawe nenda kaangalie wafanyakazi wana shida gani.
Genereta kawe hakuna.
Hii n ofisi kubwa ioio na ofisi za immigration ndani. Majuzi niliandika humu watanzania zaidiya 200 wamekaa masaa 6 ati umeme hamna mbele ya ofisi kuna saloon ina genereta kwa mbele stationery ina genereta aisee kuna shdaa
Mabossi tokeni ofisini.
Huwezi kaa ofisin na nje ya ofisi kumejaa watu kila kona kana kwamba hamna wafanyakazi kumbe watu wanasubiria wenye pesa wawafwate watoe namba na ids.
Kama vipii wekeni fedha za kulipia hizo kadi kama mnaona kunahitajika pesa.
Naongea kwa uchungu hatakawe jana watoto wa vyuo wanaondoka wanalia kabisaà hii aibu mnatutangazia tukajiandikishe ya nn kama hamna uwezo wa kupatikana hivyo vitambulisho
Mungu aingilie kati tu