KERO NIDA kuna matatizo ya rushwa na urasimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwenye suala la vitambulisho vya Taifa kiukweli tumefeli toka zamani maana usumbufu huu ulianza mda mrefu sana.

Hii inaonesha jinsi gani hatupo serious na wahusika hawajali.
 
Ukitaka kujua Tanzania kuna wafanyakazi mambulula wasiojitambua nenda Nida.
Inasikitisha Eti kuna waziri wa mambo ya ndani yupoyupo tu, wajinga kama hawa ndio magufuli alikuwa anawaita Majipu
 
Mawaziri wenu wenyewe NI MIFUKO JUMLISHA NA MIFURUSHI.ipo tu kama mikondoo.
Mwisho wa mwezi wapokee mishahara na posho ndo kazi wanayoiweza.dunia ya sasa ya utandawazi waziri hawezi kusema kuwa hana taarifa ya utumbo unaofanywa na watendaji wao.wanazipata ila wanakaa kimyaa.Wanajua hata mkisema MTAFANYA NINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…