Ofisi tuna ambiwa zimefungwa kwa sababu ya corona Mkuu, au wanafuatilia mkutano wa chama chao cha CCM huko?Watumie kwanza hela hata buku 5 tu halafu andika ujumbe "ile laki mbili ntaituma baada ya lisaa"
Then baada ya nusu saa wapigie hapo watapokea tu..😂
Mkuu waonaje ukiwafata ofisini mwao.. we wafate hukohuko kama timbwili kalianzishe huko mpk kieleweke.
kwani corona iko NIDA tu wao wangesema wamefunga kwa sababu hawana fedha za kujiendesha hapo hats DonNalimison angewaelewaOfisi tuna ambiwa zimefungwa kwa sababu ya corona Mkuu, au wanafuatilia mkutano wa chama chao cha CCM huko?
Nida ni jipuHii serikali ina ubabaishaji mwingi sana, kila sekta ni ujanja ujanja tu.
HahahahahPengine Walijua ni mrisho gambo anawapigia kuomba nafasi ya kuwatumikia
Hawa jamaa hupokea wakijisikia halafu hutoa majibu kama wanalazimishwa.Wakuu, Mamlaka ya NIDA imeorodhesha namba hizi kwaajili ya mawasiliano kwa sisi wateja wao wenye changamoto mbali mbali kutokana URASIMU wao;
0752 000058, 0677 146667, 0777 740008, na 0735 201020.
Jambo la kushangaza na KUUDHI, namba hizo kila ukipiga simu HAZIPOKELEWI wala kujibiwa chochote. Kuna nini huko NIDA? Kwanini mnatufanyia UHUNI wa namna hii?
Kama shughuli zenu zimefungwa rasmi mtoe taarifa ili tujue cha kufanya kuliko kutuchezea akili namna hii.