NIDA kuna uzembe, mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho cha Taifa

NIDA kuna uzembe, mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho cha Taifa

matambalya1

Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
6
Reaction score
4
Nida Kuna uzembe mkubwa sana huu mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho changu kila nikifika nawambia a bado hakija toka ipo sawa hii au umekuwa deal ku print kitambulisho ndo ichukue more than four years
 
Mi mwamka wa tatu ninamiliki namba tu kila nikienda ofisi ya kata ya kirumba, naambiwa hawajaleta
 
Nida Kuna uzembe mkubwa sana huu mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho changu kila nikifika nawambia a bado hakija toka ipo sawa hii au umekuwa deal ku print kitambulisho ndo ichukue more than four years
Mimi nna miaka mitano Hadi leo sijapata icho kitu kinachoitwa kitambulisho Cha uraiha
 
Wengine tumeshasahau haya ya kufuatilia gizani,maana soli ya kiatu imeshaisha
 
Yote hayo ni kwa sababu hulipii ila mimi nilipata connection hata mwezi haujafika nishapata kitambulisho changu
 
Sasa Hivi Utapata Maana Tunataka Kodi Yako Haraka​

Utapata kikiwa kimeisha matumizi ya muda wake. Na itabidi ukilipie
 
zilikuwa zinatafutwa namba za kusajilia laini tu, hao watu hata huwa sijui nini kinachelewesha au hawakujipanga vyema
 
Wee mwaka wa nne tu me ni nkazu wa wilaya ya Kinondoni Tegeta Madale nilianza hizo pigo za kufuatilia kitambulisho cha nida 2017 sukufanikiwa kabisa pamoja na kuwa na vielelezo vyote vinavyo takiwa nime kaaa... weee 2020 ndipo nikapata namba ya Nida [emoji23] bado nikaendelea kusota kupata kitambulisho Mwezi wa 3/2022 ndio nikapata kitambulisho hapo ni baada ya kusota miaka 7 Nida hawako sereous [emoji23]
 
Nida Kuna uzembe mkubwa sana huu mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho changu kila nikifika nawambia a bado hakija toka ipo sawa hii au umekuwa deal ku print kitambulisho ndo ichukue more than four years
Kyna dogo mtaan anaprint kwa 10000 tu chap 0715058481
 
Back
Top Bottom