matambalya1
Member
- Jul 24, 2015
- 6
- 4
Mimi nna miaka mitano Hadi leo sijapata icho kitu kinachoitwa kitambulisho Cha uraihaNida Kuna uzembe mkubwa sana huu mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho changu kila nikifika nawambia a bado hakija toka ipo sawa hii au umekuwa deal ku print kitambulisho ndo ichukue more than four years
Mkono mfupi mkuuNida Kuna uzembe mkubwa sana huu mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho changu kila nikifika nawambia a bado hakija toka ipo sawa hii au umekuwa deal ku print kitambulisho ndo ichukue more than four years
Kuna jamaa kanidownloadia changu kwa 10000 tu chap sana namba 0715058481Mi mwamka wa tatu ninamiliki namba tu kila nikienda ofisi ya kata ya kirumba, naambiwa hawajaleta
Kyna dogo mtaan anaprint kwa 10000 tu chap 0715058481Nida Kuna uzembe mkubwa sana huu mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho changu kila nikifika nawambia a bado hakija toka ipo sawa hii au umekuwa deal ku print kitambulisho ndo ichukue more than four years
Wapi mkoa gani kiongoziKyna dogo mtaan anaprint kwa 10000 tu chap 0715058481