NIDA namba/ kadi imekuwa changamoto sana shida nini? Wekeni fees tulipe basi kuondoa haya

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida

Yaani vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni

Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna njoo wiki ijayo

Unakwenda unaambiwa chukua no hii uwe unatupigia ukiwa tayari tu takujulisha

Hapo n miezi 2 jaman nenden kawe nida mkaone haya malalamiko wahojini wale watu walio nje kila mmoja analia urasimu kila siku kila sehemu hamchoki

Tunaomba wakurugenzi husika wafatilie hizi ofisi pls tunateseka sana wengine kama sio hizi sheria zenu passport sijui.Xxz tuwe nazo tusingethubutu kuziitaji

Naomba tusaidien kupata hizi kadi maana mnatangaza watu wajazane wakati hamna uwezo wa kuhudumia kwa wakati

Mungu awawezeshehivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida

Yaan vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni

Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna njoo wiki ijayo

Unakwenda unaambiwa chukua no hii uwe unatupigia ukiwa tayari tu takujulisha

Hapo n miezi 2 jaman nenden kawe nida mkaone haya malalamiko wahojini wale watu walio nje kila mmoja analia urasimu kila siku kila sehemu hamchoki

Tunaomba wakurugenzi husika wafatilie hizi ofisi pls tunateseka sana wengine kama sio hizi sheria zenu passport sijui.Xxz tuwe nazo tusingethubutu kuziitaji

Naomba tusaidien kupata hizi kadi maana mnatangaza watu wajazane wakati hamna uwezo wa kuhudumia kwa wakati

Mungu awawezeshe
 
Ukitaka kujua Tanzania kuna wafanyakazi mambulula wasiojitambua nenda Nida.
Inasikitisha Eti kuna waziri wa mambo ya ndani yupoyupo tu, wajinga kama hawa ndio magufuli alikuwa anawaita Majipu
 
Back
Top Bottom