sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili, hii kwahiyo inamaanisha tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line?
Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba mtu inabidi awe na nida na kuweka alama ya kidole.
Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba mtu inabidi awe na nida na kuweka alama ya kidole.