sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili kwasababu tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line.
Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba mtu inabidi awe na nida na kuweka alama ya kidole.
Ndio mambo kama haya sasa, kero tupu
Acha ulalamishi,Yaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili, hii kwahiyo inamaanisha tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line?
Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba mtu inabidi awe na nida na kuweka alama ya kidole.
Usajili wa line ufanyike kwenye ofisi rasmi za mitandao husika tuu..! Mawakala wa mitaani wanasajli namba kwa kutumia nyaraka za watu wengine kisha wanaziuza kwa matapeliYaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili, hii kwahiyo inamaanisha tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line?
Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba mtu inabidi awe na nida na kuweka alama ya kidole.
Huu ndio uongo wa kiwango cha SGR, Hii sms labda ni ya miaka kumi nyuma, sasahivi wanatumia mfumo wa alama za vidole sasa hayo makopi yanatumika vipi?
Na hili liliamriwa enzi za mwendazake kuwa ikifika tarehe 1 mwezi wa nne line zote zisajiliwe ofisini tu ila alivyokata kamba mambo yakabadilishwaUsajili wa line ufanyike kwenye ofisi rasmi za mitandao husika tuu..! Mawakala wa mitaani wanasajli namba kwa kutumia nyaraka za watu wengine kisha wanaziuza kwa matapeli
Ahsante kwa taarifa...
Taarifa ya uongo hiyoAhsante kwa taarifa...