NIDA nisaidieni njia ya kupata namba ya kitambulisho (NIN)

NIDA nisaidieni njia ya kupata namba ya kitambulisho (NIN)

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Wanajukwaa,
Nina shida ya haraka sana ya kupata NIN toka kwa hawa waheshimiwa wa NIDA.
Cha ajabu ni ngumu sana kupata huduma hii kwenye mtandao
Nimejaribu kwa meseji ya kawaida kwenye ile menu ya *152*00# hakuna kitu.
Kwenda kwenye website ya nida pia hakuna kitu.
Nimepiga namba zote za huduma kwa wateja
0686088888
0677147666
0677146666
0673333444
0800758888

Zote zinaita na Hazipokelewi.
Sasa kama kuna watu wa nida wataobahatika kuusoma uzi huu wanicheki pm niwape details ili nipate NIN.

Maendeleo Hayana chama.
 
Tangazo limetolewa na Waairi wa ndugulile kuwa. Tanzania postal Sasa ivi wanatoa huduma za.
1.brela
2.nida
3.rita
4.tin namba.

Kwa hiyo wahi hizo ni taasisiza serikali zilehamishiwa huko postal ...hata pale dar brela jengo la ushirika washahamishia virago huko posta...
 
..Hivi nikitaka kurekebisha taarifa zangu kwenye kitambulisho changu upi utaratibu wa kufuata?..
 
Kama ulishapeleka vyeti na hujaona majibu basi vilishapotea, nadhani wanaviwekea umakini zaidi vile vya wanaojisajili siku maalumu kwa mfano mimi nilienda kujisajili siku ya sabasaba na Sasa tayari Nina namba yangu hata nikiigoogle naipata kabisa bila shida. Mke wangu alipeleka kabla yangu ila katika siku za kawaida ila Hadi leo Kapa, alifuatilia wakamuambia vyeti vyake vimepotea aanze upya kuvikusanya.
 
Tangazo limetolewa na Waairi wa ndugulile kuwa. Tanzania postal Sasa ivi wanatoa huduma za.
1.brela
2.nida
3.rita
4.tin namba.

Kwa hiyo wahi hizo ni taasisiza serikali zilehamishiwa huko postal ...hata pale dar brela jengo la ushirika washahamishia virago huko posta...
Sijaelewa hapa TIN number na posta wapi na wapi ufafanuzi tafadhar
 
Back
Top Bottom