Hembu fikiria huo mkanganyikoHoja yako inamshiko,,
.usikilizwe.
Juzi nimepokea SMS ya chanjo kwenye Namba yangu ya voda kutoka namba 100 kwamba nimechanja chanjo yangu ya Kwanza ya Janssen lakini ajabu Jina limekuja la mtu mwingiine wakati Namba za kwangu na wala sijachanja wala kujisajili chanjo yeyote.