Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusogezea hii taarifa mpya kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Taifa NIDA ambapo wamesitisha zoezi la kutoa nakala ya Vitambulisho kupitia mtandao.
Hakuna wa kuzungumza maana wako busy kuscan mafomu yenu
Hazijawekwa wazi bado bwana
Insecurity nilishangaa sana huu utaratibu.
Iweke kibibi basi na mabibi muielewembona habari imekuja kimama hv.? habari haijakamalika.
Kivipi wakati huwezi print ID ya mwingine hata kama una namba yake, utaulizwa maswali kulingana na taarifa ulizojaza kwenye fomu. Ukikosea tu taarifa, nakala huipatiInsecurity nilishangaa sana huu utaratibu.
Kama Nina taarifa zake siwezi kutoa I'd yake?Kivipi wakati huwezi print ID ya mwingine hata kama una namba yake, utaulizwa maswali kulingana na taarifa ulizojaza kwenye fomu. Ukikosea tu taarifa, nakala huipati
Na hata ukitoa utatumia vipi? Bila uwepo wake, labda ukate kiganja chake utembee nachoKama Nina taarifa zake siwezi kutoa I'd yake?