profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Niwakati muafaka kwa NIDA,kuweka form online kwa ajili ya waliopoteza vitambulisho vyao.
Haina haja kukaa foleni ya watu 600 pale mombasa/gmboto na kupigwa na jua kali na foleni haiendi.
Waweke sehemu ya ku upload loss report,na kulipia hiyo 20,000/, kisha mtu asubiri kutumiwa sms ya kuchukua kitambulisho chake, katika kata anayoishi. Mbona loss report tunamalizana online tu.