NIDA

Razacq Gates

New Member
Joined
Dec 20, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Serikali kupitia mamlaka yake ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilitoa muongozo wa kupata namba yako ya NIDA kwa njia ya kielectronic kama tayari MTU kishafika kwenye mamlaka halisi na kujisajili lakini anasubilia namba.
Cha kushangaza ,Unapo andika ombi La kupata namba huambiwa ombi lako bado linashughulikiwa kwa msaada zaidi piga namba zifuatazo " .... Lakini cha kushangaza ukipiga namba zilizotajwa na mamlaka husika hazipatikani na zingine zimezuiliwa huduma na Mfumo wa alama za vidole.
Swali langu ni je Vipi NIDA inatoa namba ambazo zenyewe pia zimefungiwa na nyingine kutokupatikana kabisa? Hawaoni ni kufanya mpango wa usajili kua mgumu zaidi ?
 
Naona mganga hajigangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We upo dunia gani mbona walishema Huduma ya kuangalia na kuprint copy ya kitambulisho imesitishwa
 
We upo dunia gani mbona walishema Huduma ya kuangalia na kuprint copy ya kitambulisho imesitishwa
Mamlaka za mitandao ya simu bado zinasisitiza kuangalia namba zenu kwa mfumo huo mpka sasa. Na makupuni ya simu hukupigia wakati mwingine kukusisitiza kufanya ivo.
 
Mamlaka za mitandao ya simu bado zinasisitiza kuangalia namba zenu kwa mfumo huo mpka sasa. Na makupuni ya simu hukupigia wakati mwingine kukusisitiza kufanya ivo.
Huyo ndio yuko nyuma ya wakati. Sisitizo linaendelea lakini huduma hazipatikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…