Nidai fidia kwa nani kifo cha sharo millionea?

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
366
Jana wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV waliendelea kurusha tangazo la sharo millionea la Airtel kitu ambacho kinazidisha majonzi kwa ndugu, jamaa na marafiki.sasa je ni wapi naweza kudai fidia kati ya Airtel au Itv naomba msaada wa kisheria jamani.
 
Ungeenda kwao kabla hajazikwa,na habari za udaku huku sio sehem yake,nenda kwa shigongo mzee wa ccm
 
Jana wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV waliendelea kurusha tangazo la sharo millionea la Airtel kitu ambacho kinazidisha majonzi kwa ndugu, jamaa na marafiki.sasa je ni wapi naweza kudai fidia kati ya Airtel au Itv naomba msaada wa kisheria jamani.

Usikurupuke ndugu. Inawezekana mkataba kati ya sharo na Airtel unasema tangazo litarushwa kwa miaka 2 bila kujali yu hai au amekufa. Na miaka miwili bado haijaisha. Cheki mkataba. Mimi nimeingia mkataba na coca kutumia nyumba yetu kwa matangazo kwa miaka mitano na wamenilipa. Hata nikifa wataendelea.
 
Jana wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV waliendelea kurusha tangazo la sharo millionea la Airtel kitu ambacho kinazidisha majonzi kwa ndugu, jamaa na marafiki.sasa je ni wapi naweza kudai fidia kati ya Airtel au Itv naomba msaada wa kisheria jamani.
Hivi unajitambuwa lakini kama huna akili?
 
SHARO; Unatoa wapi meen?

MAJUTO; Airtel money,

SHARO; Umebugi meen.
 
maelezo yalitolewa jana na mjomba wake kupitia kipindi cha Millard Ayo kuwa mkataba alioingia na Airtel ni kutangaza mpk 31 December 2012. Ndugu zake wote wameridhia baada ya kuona mkataba ambao amesaini na Airtel na mzee Majuto
 
Jana wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV waliendelea kurusha tangazo la sharo millionea la Airtel kitu ambacho kinazidisha majonzi kwa ndugu, jamaa na marafiki.sasa je ni wapi naweza kudai fidia kati ya Airtel au Itv naomba msaada wa kisheria jamani.

Mbona hotuba za baba wa taifa hudai fidia?
Mbona sinema za Yesu hudai fidia?
 
Wote vilaza tu isipokuwa funzadume
 
Back
Top Bottom