Kuna kuku waliatamia muda mrefu bila kutotoa. Nahisi hayakuwa na mbegu.
Baadae kumezuka utitiri mwingi mno kwenye mazingira yote ya ndani na nje ya banda. Nimepiga dawa kuua wadudu aina ya Rungu lakini ilisaidia kidogo.
Je nitumie dawa gani kuwadhibiti?