Nielekezeni jinsi ya kupika crisps za ndizi

Nazitafuta zile ndefu,naona nyingi wanadisplay zile za mviringo.,naomba uni brief kidogo
Huo ni mkato tu ila process ni zile zile....
nadhani kuna vidude vya kukatia zinakua ndefu... wajuzi watakuja.
 
My friend za youtube wala huwezi kuelewa, nunua kikatio kko hivi vya kukatia karot ndizi isiwe imeiza sana itaharibika weka ndizi kwa urefu kata
 
My friend za youtube wala huwezi kuelewa, nunua kikatio kko hivi vya kukatia karot ndizi isiwe imeiza sana itaharibika weka ndizi kwa urefu kata
Ndizi iweje mkuu? Imeiva saiz gani? Afu kuna kitU kingine uba add?
 
Ndizi iweje mkuu? Imeiva saiz gani? Afu kuna kitU kingine uba add?
Chukua ndizi ambayo ndo inaanza kupata rangi na uzipike siku hiyo hiyo kinachowekwa ni chumvi kwenye mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…