Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,147
- 2,513
nani kakupa? Muulize uyo uyo hapa sidhani kama utapata mtu
kuna watu ni coin collectors kama vile walivyo stamp collectors ila sidhani kama hizi coins zetu zitakuwa na soko sana.... Labda zile za enzi za ukoloni.... Jaribu ku google as well as ebay uone ni coin zipi zenye soko na zinakwendaje na hao wauzaji wanunuzi jaribu kuwatumia enquiry kama wanaweza kuchukua hizo zako kuongeza kwenye collection yao
BOT sijawahi kusikia na wala sidhani na hata kama wanachuku sidhani kama itakuwa worth it (ila sababu sio mbali jaribu kwenda ukaulize) ila najua collectors wapo sana hasa ndugu zetu wa magharibi cha kufanya kama za enzi ya mkoloni unazo jaribu kufungua account ebay uzitangaze sababu wadau/collector wa huko nadhani atapenda kuwa na collection ya pesa ya koloni la nchi yakeSasa ndugu yangu senti za miaka ya 50 si enzi ya ukolon hyo..
THEN NILISIKIA BoT nao wananunua.. Hii imekaaje?
Wadau nina sarafu za zamani ikiwemo senti 10,senti 5 za elizabeth za miaka ya 50 had 60,
pia ninazo sh 1, 20 na sh. 10 za enzi za noti na coin za enzi ya nyerere na mwinyi...
Vipi soko lake liko wapi na zinanunuliwa bei gani
Kaungane na wenzako pale Mmnazi mmoja Mtaa wa Mkunguni Jamaa wanasarafu za kitambo hadi sana rupia za Mjerumani wanazo wewe zako ukienda nazo pale ni Mpya sana... Nilienda Bagamoyo kuna jamaa nae anauza kwenye maeneo ya Makumbusho ya nyumba za Kale...
Uza kama chuma chakavu utapata hela tu
Mkuu wew kwan ulizinunua au uliziokota?
kama uliznunua nazan unafahamu mwenyw wap soko lilpo
kama umeziokota kaziuze kama scrappers tu kilo 100.
wsh u all the best on ur bisness
hao wenzake wanauzaje nadhani ukijibu hilo utakuwa umemsaidia swali laki la wapi na kiasi ganiKaungane na wenzako pale Mmnazi mmoja Mtaa wa Mkunguni Jamaa wanasarafu za kitambo hadi sana rupia za Mjerumani wanazo wewe zako ukienda nazo pale ni Mpya sana... Nilienda Bagamoyo kuna jamaa nae anauza kwenye maeneo ya Makumbusho ya nyumba za Kale...
Haibiwi mtu hapa.
nadhani wasiliana na hawa wauzaji wa ebay nenda kwenye contact seller naona hapa hata rupee zipoSijazinunua wala kuokota alikiwa nazo babu yangi. Kafariki.. Hadi rupee zipo
nadhani wasiliana na hawa wauzaji wa ebay nenda kwenye contact seller naona hapa hata rupee zipo
wap.ebay.com/Pages/ViewItem.aspx?nborh=http%3A%2F%2Fwww.google.com%2Fm%3Fq%3Debay%2Bgermany%2Brupee%26client%3Dms-opera-mini%26channel%3Dnew&emvAD=640x247&nbpr=1&nbcol=1%7Cunknown&ebayref=/itm/Germany-East-Africa-1905-J-1-Rupee-Silver-Coin-Nice-XF-/151284325445