Mwezi mrefu na mfupi huwa sijuagi...nimejalibu kufuatilia kwa makini kwa mfululizo ndani ya miezi mi3 ili nijue kama ifuatavyo:-
August nimeanza tarehe 23
September nimeanza tarehe 20
October nimeanza tarehe 18
Je, apo mwezi wangu kwa ujumla utakuwa mrefu au mfupi?
Je, tarehe za hatari zitakuwa kuanzia siku ipi
Je, siku zangu salama ambazo siwezi pata ujauzito itakuwa siku ya ngapi? ni hayo tu
Naomba msinibeze au kunitusi nimeuliza kwa kua sijui nilijualo. Nawatakia siku njema.
Being a singleparent haihusiani kabisa na kalendaKumbe hili somo la kujuwa siku za hatari na salama kwa wanawake wengi bado ni somo gumu sana.
Ndio maana masingle mom wanaongezeka daily
Mkuu naskia damu ya hedhi ni kitu cha kukimbiwa. Sasa sijui atapiga dili vip.[emoji20]nimethink twiceHivi ikitokea ukawa mjasiriamali ukawa unaikusanya hiyo damu kama raw material akina dada watapiga hela sana na wataacha kuomba omba hela
Hivi kama mwanamke ajui siku zake za hatari alafu akasex na jamaa ambae awana malengo ya kuoana alafu huyo binti akapata mimba unafkiri huyo jamaa atakubali kumuoa huyo binti kisa tu amempa mimbaBeing a singleparent haihusiani kabisa na kalenda