Nieleweshe mdau wa Jf.

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,044
Naombeni kujuzwa wadau,, pindi matokeo ya kidato cha sita yanapo toka ntawezaje kujua idadi ya wanafnz waliopata division one.?
mfano: PCB dvsn one 300
PCM dvsn one 600
 
huwa kuna miaka baraza la mitihani wanasema 1 zipo kadhaa, 2 na 3, miaka mingine huwa hawasemi kabisa wanageneralize tu 1-3, ila kuspecify kabisa kwamba ni za comb gani sidhani, labda ianze mwaka huu, na ni ishu ya baraza hakuna source nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…