Kwa sasa sina uwezo wa kufika mahali hapo ndo maana nikaomba mwenye uelewe tugawane maarifa.Nenda pale mwenge karibu na kanisa la kakobe shuka kituo cha lufungilo kuna jengo lime andikwa Tanzanite tower utaliona tuu ukifika ilo eneo ulizia apo reception uta fikishwa unapo pataka!!!
Salaam wanajamvi, ni matumaini yangu mko wazima wa afya mkiendelea na mihagaiko ya kila siku kwa ajili ya kujipatia mkate.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninaomba mwenye uelewa na hawa watu wa CRYPTOCURRENCY TANZANIA aweze kutumegea kidogo kuhusu ufanyaji wao wa kazi nimefuatilia kwenye mtandao wao ila sijaweza kupata taarifa ya kutosha.
Tafadhali mwenye uelewe kidogo na hiki kitu naomba tugawane maarifa.
Asanteni.
Mimi nimesha kupa maelekezo sasa kipi apo umeshindwa kuki elewa nazan ulipo ona tangazo lao ama chochote kuhusu wao bas na mawasiliano wali weka otherwise una lako jamboKwa sasa sina uwezo wa kufika mahali hapo ndo maana nikaomba mwenye uelewe tugawane maarifa.
Nenda pale mwenge karibu na kanisa la kakobe shuka kituo cha lufungilo kuna jengo lime andikwa Tanzanite tower utaliona tuu ukifika ilo eneo ulizia apo reception uta fikishwa unapo pataka!!!