Nielewesheni kuhusu kushika mimba baada ya siku ya 14 yaani kuanzia siku ya 15,16..

Jiraniyetu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
350
Reaction score
333
Madaktari na wataalamu wa afya karibuni kwenye uzi huu,
Nimekuwa nikipata shauku na kutokuelewa kuhisu hiki kitu,ni kweli inawezekana mwanamke akapata mimba baada ya siku ya urutubishaji,,na inatokeaje...karibuni sana..
 
Hizo zote ni siku za kupata mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…