Nieleze zaid kuhusu kipimo cha ECG

Nieleze zaid kuhusu kipimo cha ECG

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari Wadau

Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini?
 
ECG ni kipimo kinachopima rate za mapigo ya moyo na mwenendo mzima wa moyo na usukumaji wake wa damu,

nina uhakika kinapatikana ktk hospitali nyingi tu na bei zinatofautiana.
 
Habari Wadau

Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini?
kifupi sana naweza sema inapima usafirishwaji wa umeme katika moyo, kwa kuangalia mdundo wa mapigo ya moyo.

Gharama sehemu nyingi zinaanzia 15000 mpaka 30000 inategemea na hospitali.
 
Back
Top Bottom