ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,154 Reaction score 4,184 Feb 4, 2018 #1 Habari Wadau Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini?
Habari Wadau Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini?
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,768 Feb 4, 2018 #2 ECG ni kipimo kinachopima rate za mapigo ya moyo na mwenendo mzima wa moyo na usukumaji wake wa damu, nina uhakika kinapatikana ktk hospitali nyingi tu na bei zinatofautiana.
ECG ni kipimo kinachopima rate za mapigo ya moyo na mwenendo mzima wa moyo na usukumaji wake wa damu, nina uhakika kinapatikana ktk hospitali nyingi tu na bei zinatofautiana.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Feb 4, 2018 #3 ubongokid said: Habari Wadau Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini? Click to expand... kifupi sana naweza sema inapima usafirishwaji wa umeme katika moyo, kwa kuangalia mdundo wa mapigo ya moyo. Gharama sehemu nyingi zinaanzia 15000 mpaka 30000 inategemea na hospitali.
ubongokid said: Habari Wadau Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini? Click to expand... kifupi sana naweza sema inapima usafirishwaji wa umeme katika moyo, kwa kuangalia mdundo wa mapigo ya moyo. Gharama sehemu nyingi zinaanzia 15000 mpaka 30000 inategemea na hospitali.