Katika sentensi ya na wa hutumika kuonesha umiliki mfano: Gari 'ya' Mzee, Nyumba 'ya'ngu. Mtoto 'wa' kaka. Mara nyingi "wa" hutumika zaidi kwa kuonesha umiliki wa vitu vyenye uhai na "ya" kwa visvyo na uhai. Japo wakati mwengine sio lazima iwe hivyo mfano Bustani "ya" Pili, Mti "wa" Pili. "Na" hutumika kama kiunganishi cha vitu viwili au zaidi mfano Sisi 'na' nyinyi, Mbwa 'na' fisi n.k. Wengine watachangia zaidi