Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Jan 20, 2012 #1 natumia laptop dell latitude d 630,ina sehem ya kuweka line ya simu,nimejaribu kuweka line lakini sion alama yoyote ya kutambuliwa na computer,kama kuna mtu anajua namna inavyofanya kazi nifahamishe tafadhali
natumia laptop dell latitude d 630,ina sehem ya kuweka line ya simu,nimejaribu kuweka line lakini sion alama yoyote ya kutambuliwa na computer,kama kuna mtu anajua namna inavyofanya kazi nifahamishe tafadhali