Nielimisheni juu ya hili jamani

Nielimisheni juu ya hili jamani

Kokubanza-G

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
111
Reaction score
22
Wazima jamani,naomba kuelimishwa juu ya hili.Kuna wanaume ambao wakipga ktu uwa wanaunganisha hapohapo bila ya kupumzika na anaeza fksha ata 3 maybe.

Je hii ni kawaida au ni tatzo? Na ni sababu zipi znamfanya mwnaume aweze kua hivyo?
 
Kawaida tu, na mara nyingi inatokana na mtu kukaa muda mrefu bila kufanya zinaa halafu akawa na nguvu za kutosha, huwa akipata mzigo ni non-stop.

Kinachotokea huwa anakuwa na uwezo wa ku-maintain a little erection kwa kipindi baada ya kumaliza mzunguko, na pia anakua na uwezo mkubwa sana wa kusisimuka kwa kipindi kifupi mara baada ya kumaliza,

Wewe utaona kuwa kaendelea tu hachoki ila yeye anajua kabisa ashamaliza na erection imepungua kidogo kwa hiyo hachomoi dude lake anaendelea, tu japo muda huo anakua haenjoi kama mwanzo

Kinachosababisha hili ni high level ya hormone inayoitwa testosterone amayo ndio inaco-ntrol mambo ya msisimko wa mahaba kwa wanaume
 
sasa inamana na feelings nazo znachangia kwa gal ambae anaduu nae sio.
 
ukitak huwez kuunga kun njia flan unaweza kufanya. wakati unakaribia kupga bao usimwage ndani. coz uume ukikutana na sperm zak unaufanya usinyae..so mwaga nje then ingza tena utaweza endleza game..
 
Back
Top Bottom