Kawaida tu, na mara nyingi inatokana na mtu kukaa muda mrefu bila kufanya zinaa halafu akawa na nguvu za kutosha, huwa akipata mzigo ni non-stop.
Kinachotokea huwa anakuwa na uwezo wa ku-maintain a little erection kwa kipindi baada ya kumaliza mzunguko, na pia anakua na uwezo mkubwa sana wa kusisimuka kwa kipindi kifupi mara baada ya kumaliza,
Wewe utaona kuwa kaendelea tu hachoki ila yeye anajua kabisa ashamaliza na erection imepungua kidogo kwa hiyo hachomoi dude lake anaendelea, tu japo muda huo anakua haenjoi kama mwanzo
Kinachosababisha hili ni high level ya hormone inayoitwa testosterone amayo ndio inaco-ntrol mambo ya msisimko wa mahaba kwa wanaume