Nielimisheni

Chinga boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
412
Reaction score
103
Wadau wa jf najua most of the members humu ni wale madegree holders ambao munapenda kutumia sana kimombo kile kigumu kigumu na kutuacha cc fm 4 wa kata kutoambulia kitu eti'WIFE MATERIAL NDO NINI' nisije muita mama B wangu kumbe namtusi.
 
katengenezwa kwa zege na ana magurudumu.
Kongosho dhambi hizi unazitafuta.......mtani wako Chinga boy kauliza vizuuri akamkoge my wife wake halafu unamtisha.
Hebu mtupie na mengine ya kizungu ili kibubu chake kisiishiwe............ mwezi mzima full swaga za kizungu
 
Last edited by a moderator:
katengenezwa kwa zege na ana magurudumu.

Yaani wewe! Ha ha ha haaaaaa!

Kwani huwa ana magurudumu mangapi? Mawili kama ya sanduku, matatu kama ya bajaji au manne kama ya corolla?
 
Mkuu ngoja aje Kichiringa atakujuza nini maana ya wife material, sisi wengine tunapita tu.
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa jf najua most of the members humu ni wale madegree holders ambao munapenda kutumia sana kimombo kile kigumu kigumu na kutuacha cc fm 4 wa kata kutoambulia kitu eti'WIFE MATERIAL NDO NINI' nisije muita mama B wangu kumbe namtusi.

This is the home of great thinkers!mind you kimombo is just a language like other languages say kiswahili or french.For that matter usihusishe kimombo na degree za wana-jf,not necessarily ukiwa na degree lazima ujue kimombo!!
 
Wadau wa jf najua most of the members humu ni wale madegree holders ambao munapenda kutumia sana kimombo kile kigumu kigumu na kutuacha cc fm 4 wa kata kutoambulia kitu eti'WIFE MATERIAL NDO NINI' nisije muita mama B wangu kumbe namtusi.
Wife =Mke
Material = Vitu, vifaa, vyombo nk

Basi unganisha utapata maaa yake.
 
Ingawa sina degree lakini. Wife Material maana yake ni...wa kufaa kuwa mke; mwenye kila sifa ya kuwa mke; kmf. MadameX au MwaJ wana kila sifa ya kuwa mke .... nawakilisha
 
Wadau wa jf najua most of the members humu ni wale madegree holders ambao munapenda kutumia sana kimombo kile kigumu kigumu na kutuacha cc fm 4 wa kata kutoambulia kitu eti'WIFE MATERIAL NDO NINI' nisije muita mama B wangu kumbe namtusi.

Nani amekwambia humu jf most ni madegree holder?(I am just joking ila next time wewe omba tu msaada mengine achana nayo).

Wife material ni vitu au vigezo ambavyo mwanaume anaamini mwanamke akiwa navyo kwake yeye anafaa kuwa mke.Mfano
Mwanamke awe
Mwaminifu
Mapishi safi
Msafi
Caring
Miguu ya bia
Honest
Reception safi
na mengineyo kibao.
Wife material inatofautiana kutoka mwanamme mmoja na mwingine,kilichokuvutia wewe kumuoa mtu huyo si lazima kinivutie mini au yule.Ni hayo tu
 
Poa mdau wangu Aqua ww kweli ni GT cos utashangaa humu jamvini kuna watu wanajiita Ma GT then ukiomba msaada wanaleta pumba tena ni wasomi na ndio maana hata nchi yetu haina maendeleo kwa sababu ya hawa watu wanajiita wasomi then wanatuandikia mikataba feki ww unayejiita kongosho hayo siyo majibu kwa mtu anayeji4ta GT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…