Niende kiwanja gani Tabata Ijumaa Leo?

Anza 40/40 halafu njoo the great tumalizie Makhitikhiri kuna watoto wakali. Ila 40/40 ya Arusha ni nyoko nilikuwa kule last weekend, ni pakishua sana, sijaona kama ile Arusha yote.
 
Ama nianzie 40/40 pale Tabata Bima ama The great park pale Barakuda ama Kwetu pazuri ingawa haina shangwe now days ama Makhirikhiri kule Kinyerezi?

Ungana nami jioni ya Leo nikiwa Tabata kwa wala bata.

Daa nimesahau Mikasa lounge!
ADah.. Yani unatishia watu na Mikasa lounge!!!
 
Nenda Micasa pale magengeni kuna watoto wakali kinyamaaaa
 
Muda si mrefu utahamia China bar!
mkuu kuna hii barabara ya kushuka kanisa la mbezi beach lutheran kama unaenda kawe kuna bar flan mitaa ya chinichini kuna raia huwa wanakesha pale hata saa mbili asubuhi unawakuta huwa kuna nini special pale? maana asubuhi unawakuta kama kawaida utadhani ndo wamefika
 
Si ndio hio China bar chief! we nenda tu pana mambo pale!
 
Top Garage hapo.
Watoto wa Mbezi ndo kwao. Kuna ka club kwa ndani huwa panakuwa na strippers. Ila sijawahi kuingia 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…