Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Habari ya majukumu wanafamilia wa JF, natumai nyote mpo wazima wa afya na poleni kwa walio wangonjwa.
Nimekuja kuomba msaada wa mawazo ya kibiashara kwa mkoa au jiji lililo changamka katika Sekta ya Biashara.
Mimi ni kijana ambaye kwa sasa naishi Kigoma mpaka hapa nahisi napoteza welekeo wa maisha baada ya kupitia changamoto mbali mbali katika kazi za kuajiriwa na kujiajiri (za ufundi wa upakaji rangi na umeme wa majumbani)
Akili yangu imeangukia kwenye wazo la biashara ya mitumba ila kwa mtaji mdogo tu ili namimi angalau niwe na kitu cha kuniingizia kipato angalau hata kwa siku kuliko kuwa jobless.
Natanguliza shukurani kwenu na nitaheshimu mchango wa kila mtu.