Niendelee kubaki na mkono wa Sweta au niuchonge

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Wakuu kuna kitu kinanitatiza maana naishi kwa kujistukia sana hasa sehemu za public kama vyooni na kosa uhuru navizia ndio nautoa mkono wa sweta natoa haja afu naurudisha chap.

Hata nikipata demu inabidi nivizie asilione au ni mnyime asile koni maana govi hua linatoa vitu kama ugali wa dona pia ili asiende kunitangaza.

Ingawa wengine hasa mademu wa Kihaya na Wanyamwezi wanapenda magovi, ila mi napenda kubaki nalo tatizo jamii inashangaa kusikia mtu ana mkono wa sweta.
 
Safi utakua msukuma wewe au mjaruo.

Wafia dini watakuja kukushambulia jiandae.

#MaendeleoHayanaChama
 
ukatee haraka, ni dhambi na chukizo kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu kwa mwanaume kuwa mkono sweta, binafsi nililitoa ukubwani nikiwa na miaka22 baada ya kuielewa bibilia !
 
Nani kasema kuwa na govi ni chukizo kwa Mungu? Nyinyi kila utamaduni wa Wayahudi mnauona ni sheria
 
Mwenyezi Mungu mwenyewe na hajawai badilisha, soma vizuri maandiko na vitabu vya Mwenyezi Mungu …………….
 
Yaaan govi niimeishia kuliona kwa wenzangu tu mm ,mama anadai alinitairi nikiwa namiez cta tu jmn daaaaaaa
 
tatizo ma 'caucasian' ( wazungu) ndiyo walio leta uasi mkubwa sana kwenye hili suala la kutahiri,
 
Kalitoe tu litakutesa Sana na magonjwa hayatakuacha Tena ukiwa unashiriki unabadili wanawake magonjwa hayatakuacha...katoe tu hospital ndgu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna kitu kinanitatiza maana naishi kwa kujistukia sana hasa sehemu za public kama vyooni na kosa uhuru navizia ndio nautoa mkono wa sweta natoa haja afu naurudisha chap.

Hata nikipata demu inabidi nivizie asilione au ni mnyime asile koni maana govi hua linatoa vitu kama ugali wa dona pia ili asiende kunitangaza.

Ingawa wengine hasa mademu wa Kihaya na Wanyamwezi wanapenda magovi, ila mi napenda kubaki nalo tatizo jamii inashangaa kusikia mtu ana mkono wa sweta.

Kama bado unalo Njoo inbox
 
Safi utakua msukuma wewe au mjaruo.

Wafia dini watakuja kukushambulia jiandae.

#MaendeleoHayanaChama
We Mnyantuzu hovyo sana. Wiki iliyopita uliwasifia Wayahudi kukata magovi na ukatoa maandiko ya za biblia kabisa kupongeza. Leo hii unamshawishi huyu Msukuma/Mnyamwezi mwenzake aishi na govi!
 
Wakuu kuna kitu kinanitatiza maana naishi kwa kujistukia sana hasa sehemu za public kama vyooni na kosa uhuru navizia ndio nautoa mkono wa sweta natoa haja afu naurudisha chap.

Hata nikipata demu inabidi nivizie asilione au ni mnyime asile koni maana govi hua linatoa vitu kama ugali wa dona pia ili asiende kunitangaza.

Ingawa wengine hasa mademu wa Kihaya na Wanyamwezi wanapenda magovi, ila mi napenda kubaki nalo tatizo jamii inashangaa kusikia mtu ana mkono wa sweta.
Vipi ushalikata govi au bado?
 
Back
Top Bottom