green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Nini sasa? 😄😄komaa nalo mpaka likuzibe urethral ufe 😅😅😅
Nani kasema kuwa na govi ni chukizo kwa Mungu? Nyinyi kila utamaduni wa Wayahudi mnauona ni sheriaukatee haraka, ni dhambi na chukizo kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu kwa mwanaume kuwa mkono sweta, binafsi nililitoa ukubwani nikiwa na miaka22 baada ya kuielewa bibilia !
Mwenyezi Mungu mwenyewe na hajawai badilisha, soma vizuri maandiko na vitabu vya Mwenyezi Mungu …………….Nani kasema kuwa na govi ni chukizo kwa Mungu? Nyinyi kila utamaduni wa Wayahudi mnauona ni sheria
Wakuu kuna kitu kinanitatiza maana naishi kwa kujistukia sana hasa sehemu za public kama vyooni na kosa uhuru navizia ndio nautoa mkono wa sweta natoa haja afu naurudisha chap.
Hata nikipata demu inabidi nivizie asilione au ni mnyime asile koni maana govi hua linatoa vitu kama ugali wa dona pia ili asiende kunitangaza.
Ingawa wengine hasa mademu wa Kihaya na Wanyamwezi wanapenda magovi, ila mi napenda kubaki nalo tatizo jamii inashangaa kusikia mtu ana mkono wa sweta.
We Mnyantuzu hovyo sana. Wiki iliyopita uliwasifia Wayahudi kukata magovi na ukatoa maandiko ya za biblia kabisa kupongeza. Leo hii unamshawishi huyu Msukuma/Mnyamwezi mwenzake aishi na govi!Safi utakua msukuma wewe au mjaruo.
Wafia dini watakuja kukushambulia jiandae.
#MaendeleoHayanaChama
Vipi ushalikata govi au bado?Wakuu kuna kitu kinanitatiza maana naishi kwa kujistukia sana hasa sehemu za public kama vyooni na kosa uhuru navizia ndio nautoa mkono wa sweta natoa haja afu naurudisha chap.
Hata nikipata demu inabidi nivizie asilione au ni mnyime asile koni maana govi hua linatoa vitu kama ugali wa dona pia ili asiende kunitangaza.
Ingawa wengine hasa mademu wa Kihaya na Wanyamwezi wanapenda magovi, ila mi napenda kubaki nalo tatizo jamii inashangaa kusikia mtu ana mkono wa sweta.
Kama bado hajakata aje kwangu napendagaVipi ushalikata govi au bado?