huwa namuomba tutoke out for lunch or dinner then namuambia hisia zangu...!Kwani wewe huwa unaanzaje kutema sumu?
Halafu kwani hizo Mastercard ni status symbol au? Manake naona watu mnazizungumzia sana siku hizi tokea zizinduliwe. Wakizindua black card je itakuwaje?
huwa namuomba tutoke out for lunch or dinner then namuambia hisia zangu...!
Labda ni wale wanaotaka kula huku na huku.Ana wake ila bado anataka uendelee kujigonga ili uwe akiba!Badilisha aina ya wasichana unaowafuata!
em nisaidie..wa aina gani i mean wa status ipi labda... for real am after serious relationship....!
Dah...basi labda ndo maana unam turn off. Wewe cha kufanya bana unatakiwa uwe una drop tu hints and then let the chips fall where they may. Lakini ukienda moja kwa moja kwenye kumweleza hisia zako kwake, mchuchu anaweza kukuona bado hujakomaa na labda unajifunza.
wasalaam wana mmu....!
nimekuwa nikikumbana na wimbi la kila msichana ninayetaka kuanzisha naye uhusiano kunambia 'nina mtu'...na hata ninapo muonyesha kuwa niko "for real" bado "hujishebedua" tu, cha ajabu ni kwamba baada ya muda mrefu kupita, yaani nimepotezea wanaanza oh "mbona siku hizi kimya..." hii imenifanya nijiulize kama sina njia nzuri za ku-approach au hadi niwe na "tembo master card...." ?
Wadada wa siku hizi hawatongozwi wewe mtoe out mara 2 then unapanga nae siku ya kwenda kula mzigo.wasalaam wana mmu....!