Niendelee na Elimu ya chuo au nijiendeleze mwenyewe mtandaoni?

Kwa hy mtihan mgumu ndiyo kipimo cha ubora wa elimu.?

Watu tunatofautiana uelewa so kwako unawez kuona ni mtihan mrahis ila kwa wengne unawez kuwatoa jasho..
 
Nimemaanisha kuwa vitu wanavyoulizwa kwenye mtihani ni basic sana kwa teknolojia ilipofikia. Na maswali ya mitihani yanatungwa kutokana na vitu vinavyofundishwa darasani, hivyo mtihani una reflect na elimu wanayoipata. Kiufupi computer science degree ya bongo haiko relevant na dunia ya sasa. Tuko nyuma yani and we need to update our curriculum
 
Dah! Nakushauri tena kwa msisitizo pambana upate degree na ukiweza fata hadi masters kabisa, hivyo vitu muhimu sana kwa maisha ya baadaye, mimi hapa nina uzoefu mkubwa kwenye software engineering, nina systems nyingi tu zinapiga mzigo, nimetengeneza hela ila nimekosa fursa nyingi sana kwa kutokua na masters.

Unakuta tunaomba miradi kama kampuni kwenye taasisi za kiserikali au za kiraia, ila wasifu wangu hauwezi kutumika kama project manager kisa sina masters, licha ya ujuzi wote nilio nawo, inabidi tumtafute mtu mwenye masters awe kiongozi jina tu lakini mimi ndiye naongoza mradi kiuhalsia.
Nimekosa fursa kabisa ya kwenda kusaka masters, maana nimebanwa sana na shughuli, aisei hua najutia sana kutokupambana kwenye ujana wangu ili nipate masters.

Ni kweli elimu chuoni ni hovyo tena magumashi na haikusaidii chochote, ila hicho cheti unachotoka nacho humo kitakupaisha sana huko mbele.
Leo hii hata kwenye usaili, tunapotangaza nafasi za kazi, huwa tunachuja na kutolea nje wasiokua na degree, na kama kunaye asiyekua na degree ambaye tunakusudia kumpa nafasi, itambidi atumie nguvu nyingi sana kutushawishi, tutamkagua sana.

Degree ni muhimu sana ni kielelezo kwamba uliweza kusota na kukomaa sehemu kwa miaka miine hadi ukaipata, kwamba uvumilivu huo unao. Hautaona manufaa yake ukiwa bado kijana, ila subiri huko mbele utajutia sana.
 
Nimekuelewa sana mkuu. Niliwahi msikia mtu akisema kama hivi na hili ndio tatizo letu kama taifa. Tunajali sana makaratasi kuliko uwezo wa utendaji wa kazi. Hakuna namna acha nipambane na hali halisi. Asante kwa ushauri wako nitauzingatia 🙏
 
Dah! Nakushauri tena kwa msisitizo pambana upate degree na ukiweza fata hadi masters kabisa, hivyo vitu muhimu sana kwa maisha ya baadaye, mimi hapa nina uzoefu mkubwa kwenye software engineering, nina systems nyingi tu zinapiga mzigo, nimetengeneza hela ila nimekosa fursa nyingi sana kwa kutokua na masters.

Unakuta tunaomba miradi kama kampuni kwenye taasisi za kiserikali au za kiraia, ila wasifu wangu hauwezi kutumika kama project manager kisa sina masters, licha ya ujuzi wote nilio nawo, inabidi tumtafute mtu mwenye masters awe kiongozi jina tu lakini mimi ndiye naongoza mradi kiuhalsia.
Nimekosa fursa kabisa ya kwenda kusaka masters, maana nimebanwa sana na shughuli, aisei hua najutia sana kutokupambana kwenye ujana wangu ili nipate masters.

Ni kweli elimu chuoni ni hovyo tena magumashi na haikusaidii chochote, ila hicho cheti unachotoka nacho humo kitakupaisha sana huko mbele.
Leo hii hata kwenye usaili, tunapotangaza nafasi za kazi, huwa tunachuja na kutolea nje wasiokua na degree, na kama kunaye asiyekua na degree ambaye tunakusudia kumpa nafasi, itambidi atumie nguvu nyingi sana kutushawishi, tutamkagua sana.

Degree ni muhimu sana ni kielelezo kwamba uliweza kusota na kukomaa sehemu kwa miaka miine hadi ukaipata, kwamba uvumilivu huo unao. Hautaona manufaa yake ukiwa bado kijana, ila subiri huko mbele utajutia sana.
Kumbe ukiwa hausifii watu wa upinde unaandika point kiasi hiki?
 
Upinde akina nani, usitake tuharibu uzi wa maana kama huu ambao unaelimisha, mambo ya dini na sijui mavitu gani hayo yana majukwaa yake.....
 
We si unajifanyaga SHOGA 🏳️‍🌈 wewe?
 
Degree ins kuoa vitu 3vikubwa
1.competence
2.Confiden
3.Connection.
Mtaani utapa competence zaidi..
 
Chuoni unafundishwa hadi jinsi ya kuwasiliana, huko unafundishwa na nani?
 
Back
Top Bottom