Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Mungu akitaka kufanya miujiza haangalii ukichonacho kaulize Yesu alifanyanye kumfanya Petro awe milionea wa samaki Tena mchana wakati wavuvi huvua usiku au uliza Mungu alifanyaje Israel wavuke bahari bila meli au kuogelea au Yesu alifanyaje kulisha maelfu bila kuweko wapishi au akina mama nitilie wa kuwakodi na kuwalipa waje na masufuria Yao kulisha maelfuAmani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadirisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazin, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari. Mnao waamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi Ili Watanzania tuondoke kwenye umaskini mana hiyo itakuwa njia rahisi ya kulitoa Taifa katika Lindi la umaskini, sababu wanasisa na wanasayansi wetu wameshindwa.
Hi itatusaidia sisi wakima Cha chini tuweze kutimiza malengo ya kujenga na kumiliki usafiri Kwa vipato vyetu vidogo.
Vituko vitupuMungu akitaka kufanya miujiza haangalii ukichonacho kaulize Yesu alifanyanye kumfanya Petro awe milionea wa samaki Tena mchana wakati wavuvi huvua usiku au uliza Mungu alifanyaje Israel wavuke bahari bila meli au kuogelea au Yesu alifanyaje kulisha maelfu bila kuweko wapishi au akina mama nitilie wa kuwakodi na kuwalipa waje na masufuria Yao kulisha maelfu
Umeelewa mpagani wewe?
Nilimaanidha 150,000Hiyo ni 1.5m?
Ok mkuu ila kwa huo mshahara inahitaji nguvu ya ziada kujengaNilimaanidha 150,000