Kumbe wale wazee wetu waliokuwa na utaratibu wa kuwapeleka vijana wao jando au unyago walikuwa na akili sana....
Sitashangaa keshokutwa tukitakiwa kutoa ufafanuzi wa jinsi watoto wanavyopatika au wanapatikana wapi!!
Ngoja nikawasimulie hadithi wajukuu!!
Babu DC!!
ukitaka kujua kama Mwanamke kafika kileleni utamwona anarembua macho kama anataka kufa vile.
Kumbe.......ukitaka kujua kama Mwanamke kafika kileleni utamwona anarembua macho kama anataka kufa vile.