wakuu mko poa...
hivi kama mtoto wa mwenzio umuone kama wa mtoto wako,,kama alivyoimba msanii mmoja wa nyimbo za injili hapa Tanzania,
vipi,mke wa jirani yangu pia nimuone kama mke wangu?
na hivyo hivyo kwa mwanamke, je mme wa mwenzie amuone kama mme wake?
nauliza tu jamani sitaki matusi aisee....🙂🙂