Nifah yuko wapi?

Naulizia tu kuwa amepotelea wapi huyu mwanaJF mwenzetu?

Mimba aliyopewa imemnyong'onyesha / imemboldisha mikono yake yote hivyo kwa sasa hawezi kutumia Computer au Electronic gadget yoyote ile labda mpaka mwakani mwezi November atakapojifungua. Vipimo vya Mimba yake vinasema hatoweza kujifungua ndani ya miezi tisa ( 9 ) kama kawaida ila kwa Yeye atajifungua ndani ya miezi 11 au 13 ijayo.
 


Toka July 3 ,2017 hajarudi tena [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]

Fursa2017
 
I think people need to STOP trying to read something into everything and quit making mountains out of mole hills!
 
Una ugomvi nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ugomvi nae?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kuna Mtu humu JF asiyejua Utani wangu wa Kutukuka wa Mimi na Dada yangu Kipenzi Nifah? Kwa taarifa yako tu ni kwamba hata kwa Simu tunawasiliana na ni Mdada ambaye yuko makini pengine hata kuliko mnavyomuona akichangia au akiwepo humu na ninamuheshimu kuliko udhaniavyo.

Siku nyingine uache Kukurupuka tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…