Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
Piga ndizi mbivu tu chane moja, baada ya lisaa 1 utakuwa sawa.Wakuu,
Mwenzenu magonjwa madogo madogo k.v. Kichwa kuuma, Kifua kubana, Msongo wa mawazao, na hata Maumivu ya Tumbo...huwa natuliza kwa Shots kadhaa za Konyagi, Malaria ndo ishaji-ban kabisa maana ishasalimu amri kwa Bapa ndogo ya Konyagi, huu mwaka wa pili sijui hata ilienda wapi wakati Mbu wanang'ata kila siku.
Sasa naumwa tumbo wakuu, kila likikaza nalegeza kwa shots za Konyagi, naendelea na kazi. tatizo ni la kuharishaaa.....yaani hata niwe kwenye gari, ghafla mzigo unagonga hodi, sasa hapo dawa sio Konyagi tena, ni CHOO tu. So kwa mantiki hiyo inabidi nitafute dwa.
Kwa anyejua dawa nzuri isiyo na mavidonge mengi anijulishe wadau.
Wakuu,

Mkuu naona unaushambulia mwandiko wangu badlaa ya kujibu hoja. Mimi ndo huwa naandika hivyo...na ninapendwa hivyo hivyo hapa JF, angalia likes za comments zangu. So wewe stick kwenye hoja. Au kama hujui tiba basi sepa kiroho safiYaani ulivyoandika unazani kama ni sifa hivi.
Konyagi sio dawa, Kichwa kinapokuuma kinatoa taarifa kuwa mwili wako hauko sawa hivyo unatakiwa uende hosptali ukaangalie tatizo ni nini? na sio eti kunywa mipombe kama sifa.
Watanzania tunakufa kizembe sana.
Mkuu naona unaushambulia mwandiko wangu badlaa ya kujibu hoja. Mimi ndo huwa naandika hivyo...na ninapendwa hivyo hivyo hapa JF, angalia likes za comments zangu. So wewe stick kwenye hoja. Au kama hujui tiba basi sepa kiroho safi
Mkuu kama unataka vita na mimi hapa JF mimi nipo tayari...nipo online 24/7. We sema tu suuu. coz naona huna adabuUna ujinga wa kizamani sana eti napendwa na niangalie likes za comments zako!!
Ok, Isiwe kesi kuwa na Amani mkuu.
Vijana taratibu jamani, vita ya kazi gani?Mkuu kama unataka vita na mimi hapa JF mimi nipo tayari...nipo online 24/7. We sema tu suuu. coz naona huna adabu
basi acha kuzinguaVijana taratibu jamani, vita ya kazi gani?