Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12

Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12

sharafu

Senior Member
Joined
Jun 1, 2020
Posts
121
Reaction score
137
Habari zenu, Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12 nzuri na za uhakika (yasiwe maduka ya makanjanja nsije kupigwa feki). Natanguliza shukrani
 
nenda insta kuna page wako wanataja na location kabisa cha msingi tu uridhike kwanza kwa kuwafatilia..
 
Back
Top Bottom