Ford Range
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 344
- 525
Habarini wanajf, katika pitapita zangu huku kanda ya ziwa( Mwanza) nikakutana na kabila la wakara, ambao nasikia kuwa ni watata sana ktk mila yaani wanafuga mamba na ukiwazingua tu hunywi maji wala huogi.
Huko kwao kuna jiwe la ajabu linacheza ila ni kwa amri tu ya wazee wao, hebu tujuzane wanajf, hii jamii ni kweli ipo hivyo kama nilivyosikia?
Vipi mwamko wa elimu katika jamii hii upo?
Huko kwao kuna jiwe la ajabu linacheza ila ni kwa amri tu ya wazee wao, hebu tujuzane wanajf, hii jamii ni kweli ipo hivyo kama nilivyosikia?
Vipi mwamko wa elimu katika jamii hii upo?