MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,209
Sijakusoma vema.Hahhaaaa. Unajiwahi mapema kabla hujafuatwa?
Anyway, jaribu kutembelea maabara mbalimbali watakupa maelekezo
Kwa dr kairuki ni wapi?!Nenda kwa Dr Kairuki halafu kwa kuongezea
Mkojo unaotakiwa ni wa katikati yaani unakojoa kidogo kisha unakinga kiasi, ni maelekezo ya Dr
Kama unatokea morocco(kinondoni) naelekea Mwenge shuka kituo cha Victoria fuata barabara ya mkono wako wa kulia ukiwa uelekeo wa Mwenge- kama unatumia gari binafsi ikiwa Victoria kunja kulia fuata barabara ya lami mkabala na Petrol station ni mwendo kama wa dk 3-5 ni walking distance kwa wazima ila waweza chukua bajaj au bodaboda kwa Mgonjwa.
Shukrani sana.Kama unatokea morocco(kinondoni) naelekea Mwenge shuka kituo cha Victoria fuata barabara ya mkono wako wa kulia ukiwa uelekeo wa Mwenge- kama unatumia gari binafsi ikiwa Victoria kunja kulia fuata barabara ya lami mkabala na Petrol station ni mwendo kama wa dk 3-5 ni walking distance kwa wazima ila waweza chukua bajaj au bodaboda kwa Mgonjwa.
Nijuavyo lancet laboratory wako very efficient kwa kipimo kama hicho. Ila wana bei za kibabe.Mbona Hata muhimbili are good
As long as katika private we mtajie tu mkuu,Hizo bei ataenda kukutana nazo yeye mwenyeweNijuavyo lancet laboratory wako very efficient kwa kipimo kama hicho. Ila wana bei za kibabe.
Niko Regency medical centre nimetaka kupima Urine culture lakini Dr kanishauri nifanye Urinalyisis kwanza .Nijuavyo lancet laboratory wako very efficient kwa kipimo kama hicho. Ila wana bei za kibabe.
Wadau
Naomba kufahamu maabara binafsi ambayo naweza kufanya kipimo cha urine culture( sina hakika na spellings).
Napenda kujua kwa maabara zilizopo dar es salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app