Nifahamisheni, mbona UEFA ya mwaka huu kama ligi kuu?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Niaje wanamichezo

Kwakweli kwa siku hizi nimepunguza mno kufuatilia mpira wa ulaya ila kwa mara chache naingiaga soccer 24 kuchungulia matokeo pale naposikia kuna game
Ajabu nimeingia kuchungulia uefa mara kazaa kwenye standings naona msimamo kama wa ligi kuu sio groups tena
Hii ipo vip wakuu tufahamishane au app tu ndo inazingua
Screenshot_20241105-234329.jpg
 
Ndivyo ilivyo sasa hv, kila timu inacheza mechi 70 home and away na yule wa kwanza anakuwa mshindi wa uefa na pia anaenda kucheza nusu fainali kombe la dunia la vilabu pia uwanja wake wa nyumbani utafanyika fainali ya mashindano yajayo.
Nafasi ya pili mpaka ya tano wanakuwa wamequalify moja kwa moja kwenye mashindano yajayo bila kutegemea msimamo wa ligi zao.
Nafasi ya sita mpaka kumi watacheza ligi yao ili kuqualify kucheza msimu ujao bila kutegemea msimamo wa ligi zao.

Hayo ni kwa machache.

😎
 
Niaje wanamichezo

Kwakweli kwa siku hizi nimepunguza mno kufuatilia mpira wa ulaya ila kwa mara chache naingiaga soccer 24 kuchungulia matokeo pale naposikia kuna game
Ajabu nimeingia kuchungulia uefa mara kazaa kwenye standings naona msimamo kama wa ligi kuu sio groups tena
Hii ipo vip wakuu tufahamishane au app tu ndo inazinguaView attachment 3144719
Makundi yapo kama kawaida kilichobadilika timu zote zinawekwa kwenye msimamo kwa pamoja ikiwa na maana 1-8 zinaenda moja kwa moja 16 bora na
9-24 zitacheza playoff kutoa timu nyingine 8 za kuunda 16 bora na zile 8 za kwanza kwenye msimamo ipo hivo
Screenshot_20241106-021725.png
 
Ndivyo ilivyo sasa hv, kila timu inacheza mechi 70 home and away na yule wa kwanza anakuwa mshindi wa uefa na pia anaenda kucheza nusu fainali kombe la dunia la vilabu pia uwanja wake wa nyumbani utafanyika fainali ya mashindano yajayo.
Nafasi ya pili mpaka ya tano wanakuwa wamequalify moja kwa moja kwenye mashindano yajayo bila kutegemea msimamo wa ligi zao.
Nafasi ya sita mpaka kumi watacheza ligi yao ili kuqualify kucheza msimu ujao bila kutegemea msimamo wa ligi zao.

Hayo ni kwa machache.

😎
Chief hii comment umeiandika ukiwa bar ama?
 
Mechi 70 kila timu? We jamaa ni muongo ni mechi nane tu wala sio mechi 70
 
Back
Top Bottom