Mtogweche New Member Joined Jul 2, 2023 Posts 3 Reaction score 1 Jul 6, 2023 #1 Habari, Naomba kuuliza namna ya kupata EFD machine na gharama zake Kwa bei nafuu
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Jul 6, 2023 #2 Kwamba EFD inaweza kuwa ni biashara huria? Sidhani
M MANAKE MKARI JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 299 Reaction score 240 Jul 6, 2023 #3 Nenda kwa wauzaji wa mashine ukiwa na copy ta TIN plus, leseni ya bisahara na kitambulisho. Bei ilikuwa kwenye 580,000. Hii hapo list ya wauzaji. https://www.tra.go.tz/images/LIST_OF_EFDVEFD_APPROVED_SUPPLIER__JANUARY_2023.pdf.
Nenda kwa wauzaji wa mashine ukiwa na copy ta TIN plus, leseni ya bisahara na kitambulisho. Bei ilikuwa kwenye 580,000. Hii hapo list ya wauzaji. https://www.tra.go.tz/images/LIST_OF_EFDVEFD_APPROVED_SUPPLIER__JANUARY_2023.pdf.
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Jul 6, 2023 #4 Natamani nimpate mtu nimuuzie kampuni kabisa