Uko wapi na unataka kuuza wapi ?Habari za leo wakuu?
Mimi ni mjasiriamali nlioamua kujaribu pia na kilimo, shida yangu kubwa ilionifanya niandike uzi huu ni kupata kujua soko la zao la mpunga na bei elekezi kwa gunia la kg 100, hususani kipind hiki cha kwanzia mwez wa nane had tisa.
Asanteni sana na Mungu awabariki.
Kwani unataka kuuza mchele au mpunga ?Niko maeneo ya bagamoyo kandokando ya mto ruvu, kokote kwenye maslahi tutaangalia. Ningependa kujua bei elekezi ya soko kwanza
Kama una ubora mzuri jaribu kuuza rejareja mitaani kwa hata 1,800 ule unaouzwa 2,000!Mchele mkuu
Okay. Itakubidi utembelee masokoni ili ukutane na wanunuzi wa jumla.Gunia 200 mkuu??
Kama una ubora mzuri jaribu kuuza rejareja mitaani kwa hata 1,800 ule unaouzwa 2,000!
Kama una ubora mzuri jaribu kuuza rejareja mitaani kwa hata 1,800 ule unaouzwa 2,000!
Mkuu nadhani amemaanisha uuze kilo 1800 muuzaji rejereja akauze kwa 2000 @kgGunia 200 mkuu??
Hii ni bei ya mchele wa Mbeya! Wa Bagamoyo itakuwa chini sana ya hapo...Kama una ubora mzuri jaribu kuuza rejareja mitaani kwa hata 1,800 ule unaouzwa 2,000!
Mkuu, kama vipi koboa uniuzie kg kwa sh 1300...... ni kupata kujua soko la zao la mpunga na bei elekezi kwa gunia la kg 100, hususani kipind hiki cha kwanzia mwez wa nane had tisa.
.
Unafanya biashara hio mkuu?Hii ni bei ya mchele wa Mbeya! Wa Bagamoyo itakuwa chini sana ya hapo...
Mkuu, kama vipi koboa uniuzie kg kwa sh 1300...
Mkuu hapo tandika kuna dalali au inakuaje?Nenda tandika kaangalie bei ya mchele kwa jumla lakini kama wiki mbili hivi zimepita bei ilikuwa 15oo mpaka 2300 kwa kg